
DJ JD AKIWA KAZINI
Ni kila ijumaa na jumaamosi, ndani ya Isumba Lounge,ijumaa hii na jumamosi tenaa. DJ JD akikukumbusha zilee yaani Night of the Legends with DJ John Dillinga, DJ Fast Eddy na DJ Young Kelv. Doors open 9pm entry 10k. Mjulishe mwenzako
Mwambie na mwenzio.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment