Waliojitoea Chadema wapeta ACT Wazalendo
Mwanahamisi Muyinga.
Makada wa Wawili wa Chadema
Mbunge viti maalumu anayemaliza muda wake Chuki Abwao na aliyekuwa mmoja
wa watia nia Jimbo la Kalenga aliyeshindwa kwenye kura za maoni
wameibuka kidedea kw…Read More
Neyo kufungua Coke Studio Kenya
Mkali wa ‘Miss Independent’ na ngoma nyingi kubwa, Ne-Yo anatarajiwa
kuubariki msimu wa tatu wa ‘Coke-Studio Africa’ mwaka huu nchini Kenya.
Neyo ambaye mwezi uliopita alitua nchini Afrika Kusini na kutumbuiza
kwe…Read More
New Adio: Ben pol - Sophia RMX produceed by Triss
Baada ya kufanya poa sana na nyimbo zake nyingi ikiwamo sophia, mkali wa R & B Ben pol amefanyia Rimex ya wimbo wake wa Sophia. Kazi hii imefanyika chini ya Producer Triss katika studio za Conga Music zilizopo Ki…Read More
Nukuu ya Zitto Kabwe kuhusu lowassa kwenda CHADEMA
“Wanasiasa tusiwafanye watanzania ni wajinga wasio na uwezo wa kutafakari na pia hata kukumbuka kuwa jana tuliwaambia nini.
Haiingii kwenye akili za watu makini kuona Chama cha Upinzani
kinampokea mtu ambaye kwa …Read More
Seif: Wanaotaka kumfuata Lipumba Waende.
Siku mbili za sintofahamu baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha
Wanachi (CUF) kujiuzulu wadhifa wake siku chache baada ya Ukawa
kumsimamisha mgombea mmoja wa urais, zimepelekea chama chake kutoa
msimamo wake mapem…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment