August 06, 2013


 Mkali toka wa  Hip Hop Tanzania, mwenye tuzo tatu za Kili Music  Awards 2013 Kala Jeremiah baada ya kusumbua na vibao vikali kama Karibu Dar na Dear God sasa aja na ngoma nyingine kali aliyoiita "JARIBU KUJIULIZA" aliyotayarishwa na mtayalishaji Nahreel toka studio za Home Town Records aliyomshirikisha mwanadada Mary Lucos ambaye aliwahi shiriki BSS pia. Ngoma hiyo inatarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 14 mwezi huu, hivyo jamaa amewaomba sana wadau na wapenzi wake waipokee kama walivyoipokea Dear God na vibao vingine vilivyokuwa hot.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE