Hapa Madee akifanya ibada
Msanii toka kundi la Tip Top Conection Madee au rais wa Manzese , mapema leo ametembelea kabuli la mwanamuziki m,wenzake Albert Mangwea Mjini Morogoro.
Madee akiwa haamini kunachoendelea
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mwanamuzimki toka mkoani Morogoro Dayna Nyange nkufanya hivyuo siku chace zilizopita ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Madee alikuwa kwenye show mjini Morogoror katika ukumbi wa Nyumbani Park, ndipo baada ya kumaliza show yake , asubuhi alifanya maamuzi hyo ya kutembelea na kufanya ibada katika kabuli la Mangwea
Kwembe Tall na Eddie Masali walimsindikiza Madee Makabulini
Hili ndilo kabuli lililolazwa Mwili wa Albert Mangwea
Mungu ampumzishe kwa amani.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment