Msanii wa muziki ambaye amekuwa akifanya muziki wake na kundi la Camp
Mulla, Miss Karun ametokea kwenye headlines baada ya kufanya poa katika
moja ya maonyesho yake ya mwisho kabisa, Live at The Elephants jijini
Nairobi, kabla ya kupaa kuelekea huko Marekani kwa ajili ya masomo.
SHUWASA YATWAA TUZO YA MDAU SHUPAVU KANDA YA ZIWA
-
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imeibuka
mshindi wa Tuzo ya Mamlaka Bora inayosimamia upatikanaji wa huduma za maji
safi na...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment