
Darassa Mr: skati tamaa
Mwanamuziki wa Hip Hop Tanzania, Darassa Sharif, Leo amezaliwa. katika kumbukumbu za siku yake muhimu, Darassa ametoa ujumbe kwa jamii kama ilivyo kawaida ya wana Hip Hop
''september3
kama ya leo mikaa 20 naa iliopita ndo mimi nimezaliwa, nimezaliwa mtaan
nimekulia mtaan na stil naish mtaan hustle day n night sio kuhama mtaan
kuweka ambacho hakiko sawa mtaan, mitaa imenipa meng mazur na mabaya,
imenipa majaribu mitihan maumivu skuyachukulia kama matatizo niligundua
yangeniumiza mara mbili niliyachukua kama Changamoto. kitu kingine
nilichagua kua mimi na kwa sababu najua
binadam tunamachaguo meng na dunia unakupa unataka wewe!!! pamoja na
ugum ya maisha na mazingira nilokulia sijawah kujuta kwa nin mama
alinizaa, HESHIMA NA MAPENZ YA KUTOSHA KWA MAMA ANGU amepitia meng
kwangu na hajawah kuonyesha kuchoshwa na mimi!!!! R.I.P ndugu majiran
washkaj weng sana nimepoteza mtaan so mi kua hapa leo ni zawad haijalish
unaish vip na uko wap Enjoy maisha tunaish mara tu. happy born day to
ma boy Shariff Thaabeet ramadhan a.k.a Darassa mr sikati tamaa em self
we unajua storry inavyokwenda.... wun Luv
0 MAONI YAKO:
Post a Comment