September 03, 2013

Photo: Happy birthday kwako kaka mkuu Keny Wapoteen mungu akupe kheri na baraka  tele 
Keny wapoteen
   Leo tarehe tatu sept. amezaliwa mkali wa Media Tanzania, toka wapoteen crick, Keny Wapoteen.

Kwa niaba ya ubalozini respect, ubalozini Camp, Team Clouds, wakali wa media tanzania, na www.ubalozini.blogspot.com  tunaungana kukutakia kheri ya maisha marefu yenye baraka tele. Mungu akuzidishie upendo na  kukupa ridhki za kila siku.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE