September 18, 2013


Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya ameendelea kumshutumu mkurugenzi wa Global Publishers Erick Shigongo kwa kumchafua na kuahidi siku moja kuongea na kuweka wazi na ushahidi kila kitu kati yake na Shigongo.

Kupitia akaunti yake ya Instagram @irenewaferegola8, uwoya ameandika:
[ @ ] irenewaferegola8 Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia ntatoa...usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana atawadanganya wasio na akili na wasio mjua....ntapgana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu ntasema kila kitu kwanin ananichukia...na ntaweka kila kitu waz....den wenye akili watajua naongea nin...simuogop atakama atanichafua kiasi gan...hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe...I don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atataman ardhi ipasuke......mim irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him....eeh mwenyez ? MUNGU nisaidie.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE