
Tutamtafuta ili kuzungumza nae mawili matatu, juu ya Tasnia ya Burudani na ufanyaji kazi wake. ni producer mdogo lakini mambo anayoyafanya huwezi kutegemea. Ngoma moja kati ya nyingi zilizofanya poa toka kwake ni Ili dude ya Kitale. kaa tayari kwa kumfahamu zaidi.
Kwanza Record ipo wapi hapo Morogoro Mjini?
ReplyDeleteMoro hotel?
ReplyDelete