November 21, 2013

Akaunti ya Twitter ya AY pamoja na email zake, zimekuwa ‘hacked’ na watu wasiojulikana.
Kwenye akaunti yake ya Twitter, watu hao wameandika kuwa AY amesainishwa na Kanye West na kwamba ubonyeze link kuona picha.
Kwenye email yake, ay@aytanzania.com, watu hao wamewatumia watu wake wa karibu email ya kuomba msaada wa kifedha kwakuwa amekwama:
I really hope you get this fast. I could not inform anyone about our trip, because it was impromptu. we had to be in Lagos for a program. The program was successful, but our journey has turned sour. we misplaced our wallet and cell phone on our way back to the hotel we lodge in after we went for sightseeing.
The wallet contained all the valuables we had I am sorry if I am inconveniencing you, but i have only very few people to run to now. I will be indeed very grateful if i can get a loan of 1.500USD or whatever you can afford to spare me from you. this will enable me sort our hotel bills and get my sorry self back home. I will really appreciate whatever you can afford in assisting me with. I promise to refund it in full as soon as I return. let me know if you can be of any assistance. here the hotel phone + 234-8142442532. Please let me know soonest. AY
Bado AY hajaweza kuzirejesha tena akaunti hizo mikononi mwake.

Related Posts:

  • Bomoa bomoa Yaikumba Morogoro Halmashauri ya Manispaa ya morogoro ikishirikiana na mamlaka ya maji safi na maji taka mkoa wa Morogoro MORUWASA wameendesha zoezi la ubomoaji wa majengo yote yaliyopo pembezoni mwa bwawa la Mindu.Zoezi la bomoabomoa li… Read More
  • Madee amemtungia wimbo huu Abdu Bonge Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdu… Read More
  • Kamanda Suleiman Kova astaafu rasmi Leo December 31 ni siku ya mwisho kwa mwaka ,lakini pia ni siku ya mwisho kwa Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova, kulitumikia jeshi la Polisi nchini kwa kuwa muda wake wa kulifanyia kazi jeshi hilo umeish… Read More
  • Rais Magufuli afanya uteuzi wa makatibu wakuu Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu wa wizara mbalimbali. Aidha, Rais Magufuli pia amemteua Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa … Read More
  • Jeshi la polisi latoa Tahadhari siku ya mkesha wa mwaka mpya   Yakiwa yamebakia masaa machache kufuatia kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, Jeshi la polisi nchini limetoa maelekezo ya nini kiofanyike katika kusherehekea … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE