December 31, 2013

Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake.
Baada ya matibabu hayo, muimbaji huyo wa ‘Niwe Nawe Milele’ amerejea kwenye afya yake ya kawaida na sasa yupo busy kurekodi nyimbo mpya na huenda mapema mwaka 2014 akarejea kwa kishindo. Pamoja na kupewa gari nzuri ya kutembelea, Ray C ameionyesha nyumba yaka anayoijenga na iliyokamilika kwa asilimia kubwa huku ikifanyiwa upambaji wa ndani tu.
Ray C ameionesha nyumba yake kwenye Instagram kwa kuandika: Love the color of ma new house!!!! Under construction #godisgood#workhardplayhard."

Related Posts:

  • Penzi la Wolper na Brown chali?   Duniani kuna mambo, Ile couple ya Amber Rose na 21 Savage ya Bongo inayomuhusu muigizaji wa filamu  Jackline Wolper na Brown dezaini kama limekufa hivi. Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kima… Read More
  • Mfalme wa Saudia, ziarani Urusi   Mfalme Salman wa Saudi Arabia amewasili Moscow, ikiwa ni ziara ya kwanza kwa mtawala wa kifalme wa nchi hiyo kutembelea Urusi. Katika ziara yake hiyo, atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Vladmir Putin, ikiw… Read More
  • Huu ndiyo utajiri wa Mwanamuziki AY Msanii wa Bongo Flava, Ambwene Yessaya au maarufu kama A.Y ni moja kati ya wasanii waliopata mafanikio makubwa sana kwenye soko la mziki nchini Tanzania. A.Y ambaye alianza mziki na bado yupo mpaka leo tangu miaka ya 9… Read More
  • Diamond aburutwa Mahakamani na Hamisa Mobetto Mwanamitindo Hamisa Hassan Mobetto amemfungulia kesi ya madai mzazi mwenzie, Msanii Naseeb Abdul @diamondplatnumzkwa madai ya kushindwa kumuomba radhi pamoja na kutotoa fedha za matunzo ya mtoto wao, Abdul Naseeb Juma.… Read More
  • Familia ya Lissu waitaka Polisi kushughulikia swala la Lissu   Familia ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, aliyejeruhiwa na watu wasiojulikana katika shambulia la kujaribu kumuua, wamelitaka jeshi la polisi kutumia ubalozi wa Tanzania nchini Kenya ili kumpata Dereva wa… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE