Kama wimbo unavyojieleza ‘Nakula Ujana’, Nay wa Mitego
amevuka mpaka na kwenda Kenya kula ujana na warembo kadhaa nchini humo
waliopata nafasi ya kuhusika kwenye video ya mkali huyo.
Rapper huyo ameshare kupitia Instagram picha inayoonesha matukio yaliyopo kwenye video hiyo, huku akionekana akiwa kifua wazi amezungukwa na warembo wa +254 wakimpetipeti.
Hata hivyo, Nay amesema kuwa bado hajajua ni lini video hiyo iliyoongozwa na Kelvin Bosco Junior itatoka.
“#nakula #ujana #video imeisha ndo tunaipreview nw,,,imefanyika nchini Kenya chini ya director #Kelvin bosco jnr..itoke lini cjui.” Ameandika Nay wa Mitego.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment