Habari zenu wana MMU. Poleni na uchovu wa kazi. Mimi ni mdada nimezoea
sana huu mchezo wa punyeto kwa sababu sipendi kuwa kwenye mahusiano
sababu yameniumiza sana.Nikaamua kujiridhisha mwenyewe. Naomba ushauri
nifanyeje niweze kuacha huu mchezo wa punyeto. Ushauri wako mhimu
nitaufanyia kazi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment