January 05, 2014

Producer  Triss

  Baada ya kupata darasa la nguvu kwa muda wa mwaka mmoja Afrikakusini, producer aliyemtoa Belle9 anataraji kufungua studio yake jijini Dar es salaam. Katika ukurasa wake wa facebook producer Triss ameandika juu ya studio hiyo itakayoitwa  rocka tz record.

   "rocka tz records kama kampuni tunadeal na high quality productions ya music and adverts,pia tuna professionals wa kufunga sound kwa mazingira ya indoor and outdoor,pia kufanya installation ya acoustic absorbers ,diffusers kwenye studio za aina zote , churches,halls,clubs and etc karibuni"

  Tunamtafuta Producer Triss kwa undani wa habari hizi. 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE