January 30, 2014

MNYIKA John John

MNYIKA John John

@jjmnyika

Member of Parliament,United Republic of Tanzania-Ubungo Constituency|Member of CHADEMA|Information and Publicity Director!
  1. Tunaye Mh. Rais hapa ambaye ndiye mpangaji, atatueleza ukweli. Amepandisha mpaka 160m?
  2. Kama ni kweli, sikubaliani na nyongeza ya 160m, hailingani na mshahara wa 3.4m wala hali hali ya uchumi wa nchi
  3. Kukisha kuwa na mabadiliko ya mshahara, mafao yanabadilika kulingana na mshahara kwa mujibu wa sheria
  4. Sio mfumo tu wa malipo ya wabunge, mfumo mzima wa utawala/fedha tunapoelekea Bunge la Katiba na Bunge la Bajeti

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE