Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana
kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika
kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia
mjengoni , Kuhusu chama atakacho gombea kwa sasa ni siri yake ila
atakitaja mambo yakikaribia.... UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment