Hii ni mwaka 1990 Mh Rais wetu akivuka maji huku kashukilia viatu mkononi. Nampenda sana rais wangu na harakati zake za kuitetea na uzalendo juu ya Taifa lake la Tanzania. mungu akupe mafanikio zaidi
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment