U heard na Soudy Brown mganga wa msanii AT aibuka na kufunguka kuwa alimpa pete ya bahati na kifimbo ili awe juu kwenye game,lakini watibuana baada ya AT kutotimiza ahadi alizomuahidi ya kumlipia kodi ya nyumba.Msikie Mganga akitiririka alafu AT naye afunguka.
NEMC YAKUTANA NA WAANDAAJI WA TANZANIA GREEN SUMMIT 2026
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekutana na
ujumbe wa waandaaji wa Tanzania Green Summit (TGS), inayotarajiwa kufanyika
Sep...
3 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment