Hii ni version ya pili baada ya ile ya kwanza iliyotoka February 13 2013 kutoka kwa Madee,Hii wameshirikishwa P Unit kutoka 254 Kenya,Production ni ile ile ya Marco Chali toka Mj records.
ninakupa nafasi ya kusikiliza
Bonyeza play kusikiliza.
Unique Sisters warudi kwako wewe
Wasanii wakongwe kwenye game ya muziki ambao ni ndugu wa familia moja
Unique Sisters, wamesema wamerudi rasmi kwenye game, kutokana na maombi
ya mashabiki na kuachia kazi yao mpya kwa ajili yao inayoitwa '…Read More
Siwezi kufuta kesi ya vyeti feki - Meya Boniphace
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob amefunguka na kusema kuwa
hawezi kufuta kesi yake dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu
sakata la vyeti feki na kusema anataka kuona kesi hiyo inafanyika kwa
…Read More
Lema kuongea na vyombo vya habari Kesho Kuhusu Mwigulu
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema ataongea na Vyombo vya
Habari kesho kuhusu; "Kauli mbaya na tata za Waziri Mwigulu Nchemba". Mbunge Lema amepost taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter usiku huu.
…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment