March 04, 2014


Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua
Maovu (OFM) ya GPL wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha

Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani. Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ng0no.

AFM Watonywa.
Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake.
Chanzo: Jamani OFM mpo ka- zini?


ZAIDI INGIA talkovkenya.blogspot.com

Related Posts:

  • CRAZY GK NA BARAKA AU LAANA Baada ya kupotea kwenye muziki kwa muda mrefu sana Crazy Gk amerudi kwa kishindo na kuzindua wimbo wake mpya huku akisindikizwa na timu ya East Coast Team. Sababu kubwa iliyopelekea King Crazy Gk kupotea kwenye game… Read More
  • LULU ATAJA SEHEMU ZINAZOPATIKANA TIKETI ZA UZINDUZI WA FOOLISH AGE Staa wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael‘Lulu’ametangaza rasmi sehemu zinzopatikana tiketi za uzinduzi wa filamu yake ya Foolish Age inayotajiwa kuzinduliwa August 30,Mlimani City,Dar. Lulu ameposti tiketi hizo kupit… Read More
  • FOOLISH AGE YA LULU. TIKETI KUUZWA MLANGONI     Tiketi za uzinduzi wa LULU Bado zinapatikana na Zitauzwa Mlangoni Kwa Gharama za shilingi Elfu 30 tu. UZINDUZI UNAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY KUANZIA SAA MOJA JIONI. usikose wahi sasa … Read More
  • NAY WA MITEGO,MADAM RITA SASA DAMDAM   Mwanamuziki wa Hiphop Bongo,Emanuel Elibarik‘Nay wa Mitego’na Mkurugenzi wa Benchmark Production Rita Paulsen‘Madam Rita hawana tofauti, baada ya kupiga picha ya pamoja katika uzinduzi wa vid… Read More
  • KANUMBA FILM, KUSHUSHA KIPYA   Kampuni ya filamu za Kibongo Kanumba The Great Films imeingia mzigoni kuandaa filamu mpya iitwayo WONDER GIRL ikiwashirikisha waigizaji mahiri wa tasnia hiyo.   … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE