March 04, 2014


                                             


MAPYA yaibuka, mchumba wake wa mchezaji soka maarufu duniani Christiano Ronaldo, anayejulikana kwa jina la Irina Shayk akiwa katika pozi la uchi na msanii maarufu duniani wa muziki wa R&B R. Kelly katika gazeti la V.Magazine. 

Picha hiyo imeeibua maswali kwa watu wengi kuhusiana na hali hii ya kumwamini R.Kelly na mwanamke, haswa msichana ambaye amekuwa na mwanasoka huyo maarufu kwa miaka zaidi ya mitano.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE