March 04, 2014


Stori: Shakoor Jongo
KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mnyetishaji wetu ambaye naye yuko nchini humo alisema kuwa kwa sasa mrembo huyo anajiachia na babu huyo ambaye kwa kumwangalia harakaharaka anaweza kuwa sawa na mjukuu wake.
“Unajua mapenzi ya wazee ni mazuri sana, kwanza wanajua kubembeleza, isitoshe hawakupi msongo wa mawazo mara kwa mara kama yalivyo mapenzi ya vijana na ndiyo maana Rehema akaona bora ajiachie na kibabu,” alisema mtonyaji huyo.

Baada ya kupata ‘infomesheni’ hizo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Rehema ili kujiridhisha kuhusiana na stori hiyo ambapo kwa upande wake alianza kucheka kisha kudai aachwe ale ujana.
“Ahaha! Mshaanza mambo yenu, niacheni jamani nile ujana,” alisema Rehema.
Credits:GPL

Related Posts:

  • Waziri:Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA    Thabo Mbeki Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa i… Read More
  • Mbiyo za Urais ndani ya CCM, Mwigulu Nchemba achukua fomu leo      Mbio za kumpata mlithi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, zinazidi kushika kasi ndani ya chama cha mapinduzi-CCM baada ya wanachama kuzidi kuongezeka katika harakati za kumpata mgombe… Read More
  • Mwasiti amshtua Babu Tale Ukimya wa msanii wa Bongo Fleva,Mwasiti Almas kwenye muziki umemshtua meneja wa msanii Diamond,Babu Tale. Babu Tale alimzungumzia msanii huyo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano kwenye kipindi cha XXL ambapo a… Read More
  • Kituo cha tembo yatima chafunguliwa   Srikali ya Tanzania imeanzisha kituo cha kwanza cha tembo yatima mjini Arusha. Kituo hicho kinatarajiwa kuhifadhi watoto wa tembo waliopoteza wazazi wao kutokana na vitendo vya ujangili au sababu nyengine. Hatua … Read More
  • Kutoka kwa Thierry Henry juu ya fainali ya leo UEFA 2015 Swali: Fainali ya UEFA itakuwa historia kubwa kati ya Barcelona au Jeventus. Wewe umewahi kufanikiwa mwaka 2009, unaweza kusema chochote juu ya usiku wa fainali ya UEFA? TH: Ni ngumu sana kufanikiw… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE