Video: Mwanafunzi aliyepigwa na Mwalimu Mbeya Day asimulia
October 6 2016 ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii video iliyokua ikionyesha Mwanafunzi wa Mbeya Day Secondary akipigwa kwa mateke na makofi na Walimu ambao walikua kwenye shule hiyo kwa ajili ya mafu…Read More
Vanessa Mdee Awalegezea Waandaaji wa Show ya Chris Brown
Waandaji wa Mombasa Rocks Music Festival walitikiswa na Vanessa Mdee –
wakatikisika. Muimbaji huyo amekubali kupanda jukwaani kutumbuiza
Jumamosi hii, shukrani kwa jitihada zilizofanywa na gavana wa Mombasa
Ali H…Read More
Brand New Audio Song: Tea Sigwa - Nyota Ndogo
Anaitwa Tea Sigwa, ni mshindi wa Supa Nyota namba mbili kwa mwaka 2016 kutoka mkoani Morogoro. Ametuletea wimbo wake huu mpya kabisa ubaitwa Nyota Ndogo. Njoo tuuskiklize
Song : Nyota ndogo
Artist : Tea Sigwer
…Read More
Hatimaye Ombeni Sefue apangiwa kazi hii
Hatimaye Rais John Magufuli ametimiza ahadi yake kwa aliyekuwa Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue baada ya kumteua kuwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Chuo Cha Diplomasia. Balozi
Sefue amepata uteuzi huo ja…Read More
Kauli ya BMT kuhusu Yanga kukodiwa
Baraza la michezo Tanzania BMT leo October 7 2016 limetangaza msimamo wake ikiwa ni siku moja imepita toka klabu ya Dar es Salaam Young Africans iweke wazi mkataba wake wa kukodiwa na kampuni ya Yanga Yetu Limited, Yanga …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment