Mapenzi
Ni Kitu cha ajabu sana kiasi cha kufikia hata kumfanya mtu kuwa kama
chizi au mwehu na kukubaliana na hali yoyote ilimradi apate tu PENZI Hii imethibitika zaidi jana Baada ya Madame Wema Sepetu Kutupia picha
mtandaoni akiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz huku Diamond akiwa
amechora tatoo yenye jina la mwanamke mwingine tofauti kabisa na Wema,
kama unavyoona hapo kwenye picha mkononi inasomeka "SANDRA".
fahamu kuwa Sandra ndiyo jina la mama yake na Diamond
0 MAONI YAKO:
Post a Comment