Huyu ni producer maarufu na ametengeneza nyimbo kama Mama Ntilie ya A.T na nyimbo nyingi za marehemu Sharo milionea.
Hivi sasa anawania tuzo ya KTMA kwenye kipengele cha mtayarishaji
bora wa muziki wa bendi na hivi karibuni amepata ajali ya bajaj na
kuumia kichwani.
C9 anaendelea vizuri na hiyo picha ndiyo jinsi alivyoumia na bajaj jinsi ilivyoharibika
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment