Viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick na kamanda
wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova walianguka na
Helikopta hii asubuhi ya April 13 2014 kwenye uwanja wa ndege Dar. Hitilafu ilisababisha helikopta kuanguka wakati ikipaa kuwapeleka
kwenye maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha
ambapo hata hivyo walinusurika kifo isipokua majeraha madogomadogo tu.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment