Habari za hivi punde zinasema kuwa Nguli wa mziki wa dance Mzee wetu Muhidim Gurumo amefariki dunia mchana siku hii ya leo.
Taarifa kutoka katika familia na msemaji wa Msondo Ngoma Music Band Said Kibiriti zinathibitisha kuondokewa na Mzee wetu mpendwa.
Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki!!
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Taarifa: Suzy Baltazary
0 MAONI YAKO:
Post a Comment