Benki
ya Nmb imesaidia kituo cha walimu Temeke Meneja wa kanda ya Dar es
salaam ambayo imekabidhi kompyuta mbili na mashine ya kuchapia
karatasi(printer) kwenye kituo cha cha walimu wilaya ya Temeke Dar es
salaam.
Hafla
ya makabidhiano hayo ilifanyika juzi jijini Dar es salaam mbele ya Mkuu
wa kituo hicho cha walimu Temeke Bw.Daniel Matembele vifaa hivi
vimetolewa na benki ya NMB kwa ajili ya mafunzo yanayotolewa kwa walimu
katika wilaya ya Temeke
0 MAONI YAKO:
Post a Comment