Mbali na headline mbalimbali zilizoanza kutoka mara baada ya kukabidhiwa
kwa tuzo hizi 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Award Diamond Platnumz
amekua msanii wa kwanza kupata idadi nyingi ya tuzo tangu kuanzishwa
kwake,ukitoa 20% ambaye mwaka 2011/2012.
Diamond ameandika hiki baada ya kukabidhiwa tuzo hizi.
Ilitamba hii: Sea - Papi Kocha ft Nguza Viking
Mambo vipi ndugu mdau wa Ubalozini.blogspot.com. Tunaomba leo hii tukurudishe nyuma kidogo katika nyanja ya burudani. Tunakupa myda wetu nawe tenga muda wako kuburudika na kibao hiki cha Sea cha kwake Papii Kocha…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment