Kwa mara ya kwanza huu wimbo ulipata nafasi ya kusikilizwa na Watanzania pale kwenye utolewaji wa tuzo za KTMA 2014 wimbo unaitwa ‘mfalme’ wa Mwana Fa ameshirikishwa G nako na umefanywa na Producer Nahreel.
Baada ya kuusikiliza usiache kuandika yako ya moyoni kwenye comment hapa chini kisha Mwana FA atapita hapa usiku kusoma ulichoandika.
Bonyeza play kusikiliza.
Wapiganaji 300 wa Boko Haram wauawa
Jeshi la Nigeria limesema kuwa
limewauwa zaidi ya wapiganaji 300 wa Boko Haram, baada ya jeshi la nchi
hiyo kutwaa tena miji kadhaa iliyotekwa na wapiganaji hao kazkazini
mashariki mwa Monguno.
Msemaji wa jeshi …Read More
Mtoto Yohana Bahati auawa Shilabela
Majina ya maalbino waliokwisha uawa.
Mwili wa mtoto Yohana Bahati
aliyekuwa na umri wa mwaka mmoja ambaye ni mlemavu wa ngozi maarufu kama
Albino, alitekwa siku ya Jumapili Februa…Read More
Wafahamu wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao vya kazi
Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni Poul Makonda
1. Novatus Makunga Hai 2. Mboni M. Mgaza Mkinga 3. Hanifa M. Selungu Sikonge 4. Christine S. Mndeme Hanang 5. Shaibu I. Ndemanga Mwanga 6. Chrispin T. Mee…Read More
Upungufu mkubwa wa Maji walikabili Taifa
Sehemu za ndani ya mikoa ya Tanzania zikiwa kame.
Watanzania wanalaani hali ya hewa na kuongezeka kwa joto wakati
usambazaji wa maji mijini ukidorora na huku mabishano yakizidi kuwa
makali baina ya…Read More
Hatujakamata waharifu: jeshi la polisi
Jeshi
la Polisi nchini, limesema majambazi waliokuwa wamejificha katika
mapango ya Amboni nje kidogo ya jiji la Tanga wamekimbia.
Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Kamishna Paul
Chagonja, akizu…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment