
Kanye West na kim Kardashian wameachia picha za harusi yao iliyoripotiwa kufanyika siku ya jumamosi.

Pastor Rich Wilkerson Jr kutoka Northa Miami ameripotiwa kuwafungisha ndoa wawili hao.
Kanye West na kim Kardashian wameachia picha za harusi yao iliyoripotiwa kufanyika siku ya jumamosi

Kanye na Kim walianza ku-date mwaka 2012

Picha hizi zimetolewa wa mara ya kwanza kupitia E News ambayo ni sehemu ya mtandao unaorusha kipindi cha Keeping Up With The Kardashians.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment