May 29, 2014

 Padri Octaviani Msimbe akiongoza ibada ya kumbukumbi ya kifo cha Albart Mangweha nyumbani kwao Kihonda 'Mazimbu Road' Morogoro
                       
 Padri Msimbe akisalimiana na mama mzazi wa Mangweha Bi Denisia Mangweha
 Mama Mangweha akipokea sakrameti takatifu


 Mchumba wa Mangweha  Michelle Louise raia ya Uingereza akihojiwa

 Msanii wa bongofleva Mgaza Pembe' M-2 THE- P ambaye alikuwa na m,arehemu Mangweha Afrika Kusini akipiga picha matukio ya lbada hiyo,
Mama Mangweha akitoa shukrani kwa watu walioshiriki lbada hiyo.
 
Picha na Dastan Shekidele

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE