May 26, 2014



Shughuli za upigaji kura zikiendelea nchini Malawi.
Nchini Malawi kura za uchaguzi mkuu zinatarajwa kuhesabiwa upya hii leo katika maeneo ambapo imedhihirika kuwa idadi ya wapiga kura haiwiani na idadi ya wale waliojiandikisha kupiga kura.
Uchaguzi mkuu wa Malawi umezidi kuchukua sura mpya baada ya wanasiasa na wanasheria nchini humo kupeleka malalamiko yao mahakamani, na kuzidi kuchelewesha matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika jumanne iliyopita.
Kulingana na mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya BBC aliye mjini Lilongwe, Baruan Muhuza, hali nchini humo imekuwa ya sintofahamu ambapo hakuna ye yote anayejua uchaguzi utaishia wapi.
Anasema kuwa tume ya uchaguzi imekiri kuwa kuna maeneo kadhaa ambayo kuhesabu kwa kura kutarudiwa kwa sababu kura zilizopigwa zinazidi waliojisajili.
" Tume ya uchaguzi inasema kuwa kuna maeneo mengine ambako watu wamepiga kura mara tatu au mara nne kama vile mji wa Mangochi waliosajiliwa ni watu 39,000 pekee lakini kura zilizopatikana hapo ni 180,000," Baruan alisema.

Related Posts:

  • .SHILOLE AINASA, MWENYEWE ATHIBITISHA KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki bongo, Shilole, ametangaza kuwa na ujauzito kitu ambacho anaamini kwa kufanya hivyo atapata baraka kutoka kwa mashabiki wake. Mwandishi wa habari hizi … Read More
  • JOBFIRE A.K.A (SAUTI ZA MATUKIO) ASAKA MDHAMINIPICHANI NI MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA ANAYEJULIKANA KWA JINA LA JOBFIRE A.K.A SAUTI ZA MATUKIO,, NI MZALIWA WA MOSHI MKOANI KILIMANJARO ILA KAZI ZAKE KIMUZIKI ANAFANYIA KISIWANI ZANZIBAR, CHIMBUKO LAKE NI MKOA WA TANGA,… Read More
  • KUNDI LA BLUE 3 KURUDI TENA UPYAA..!! Ex Blu3 star who is now rumoured to be back to the group after they reunited with Jackie and Lillian has shown the other side of her by coming to the rescue of a one year old who was burnt by her father after a simple… Read More
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - TAMASHA LA MICHEZO TAMASHA LA MICHEZO LILILOANDALIWA NA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO KWA KUSHIRIKIANA NA UBALOZI WA SERIKALI YA UINGEREZA NCHINI KUPITIA SHIRIKA LA ‘BRITISH COUNCIL’ TAREHE: 27, MACHI, 2012MUDA: 4 Asb- 7… Read More
  • SELE CHID BEENZ BIFU ZITO    Msanii Afande Sele aligeuka mbogo baada kumjibu msanii mwenzake Chid beenz kuwa hawezi kumteka na hana uwezo huo kwani Afande ameshakua mwanajeshi JWTZ na akaacha jeshi hivyo awezi kutishiwa amani n… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE