May 31, 2014

 
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiutoa mwili wa marehemu George Tyson mochwari mchana wa leo katika Hospitali ya Mkoa ya Morogoro.
..Wakiupakia mwili wa marehemu katika gari.
 
Mwili wa marehemu George Tyson…
 
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiutoa mwili wa marehemu George Tyson mochwari mchana wa leo katika Hospitali ya Mkoa ya Morogoro...
.Wakiupakia mwili wa marehemu katika gari.
 
Msanii Ambwene Yesaya AY akihesabu pesa kwa ajili ya malipo ya Sanduku la kubebea mwili wa marehemu.
 
Mwili wa marehemu George Tyson ukiwekwa sawa kabla ya kuanza safari ya kuja Dar es Salaam mchana wa leo.
(PICHA: Dastun Shekidele/GPL Morogoro)

Kwa hisani yaglobalpublishers.info

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE