Bunge la Afrika Kusini kusimama kupinga ubaguzi
Bunge la Afrika Kusini litasimamisha shughuli zake wiki ijayo kwa ajili
ya kuendesha mapambano ya kupinga ukatili dhidi ya wageni nchini humo.
Ripoti iliyotolewa jana na bunge hilo imesema kuwa, wiki ijayo bunge
…Read More
Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Nepal
Tetemeko kubwa la ardhi limekumba eneo lililo magharibi mwa Nepal.
Shirika
la utafiti la Marekani lilisema kuwa tetemeko hilo la vipimo vya 7.5
lilikumba aneo liilo umbali wa kilomita nane mashariki mwa Pokhara, …Read More
Mayweather:Mimi ni bora kuliko Mohammed Ali
Floyd Mayweather amesisitiza kuwa yeye ndio bondia bora zaidi kuliko Mohammed Ali.
Ijapokuwa
amesema kuwa anaheshimu kile kilichochangiwa na Ali katika mchezo wa
ndondi,anasema kuwa amefanya zaidi ya Ali kwa kupigana…Read More
Mika 51 ya Muungano leo hii, rais Kikwete aongoza watanzania
Rais Kikwete akiingia uwanjani
Rais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano wa leo amwaongoza Watanzania
katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya
kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Z…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment