Beyonce amekuja tena na hii mpya hivi sasa, mbali na kutajwa kuwa ni anaongoza katika ile listi ya watu maarufu duniani kwa utajiri, amemwaga kitita cha dola milion saba($7 million) kwa ajili tu ya ujenzi wa nyumba simple tu za watu wasiojiweza na masikini, wakiwemo watoto wadogo pamoja na wazazi na wajane ambao hawana mahala pa kuishi katika mji alikokulia yeye mwenyewe Beyonce. Kutokana na kitendo hiko cha kumwaga hela hizo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hizo, watu wengi wametokea kumsifia katika mitandao ya kijamii kwa moyo wake huo aliouonyesha mwanamuziki huyo maarufu duniani.


0 MAONI YAKO:
Post a Comment