
Published on Jul 7, 2014
Video Directed By Mr Moe Musa
Audio Produced By Tud Thomas And Tecno
Audio Produced By Tud Thomas And Tecno
Diamond leo ameachia video zake mbili kama zawadi kwa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi. Kupitia ACyake ya facebook jana aliahidi kuachia video mbili siku ya leo kusherehekea kuzaliwa kwa mama yake. Video ya kwanza ni Mdogomdogo na video ya pili ni hii BUM BUM aliyomshirikisha mwanamuziki Iyanya toka Nigeria
PATA FURSA KUITAZAMA NA HII HAPA HAPA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment