July 17, 2014


Jana july  16th) ni siku ambayo msanii Linah ameagwa rasmi kutoka katika chuo cha THT, baada
ya kupata management N.F.Z   (No Fake Zone) entertainment iliyokwisha anza kusimamia kazi zake.


 Lina ametumia nafasi hiyo kuitambulisha video mpya "Ole Themba" iliyofanyika South Africa ikiwa pia na mkono pamoja na sauti ya mwanamuziki Uhuru na kuongozwa na God Father.

Video pamoja na audio zimefanyika chini ya uongozi huo mpya ambao una malengo ya kumfikisha hasa kimataifa.

    

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE