Katika hali isiyo ya kawaida watoto wadogo kabisa kuimba wimbo uliotoka ndani ya siku 4. Hii imeonekana katika wimbo mpya wa Dayna I do ambao umetoka Th 27 june na mtandao huu umewanasa watoto wadogo kabisa wakiimba kipande kilichopo katika wimbo huwo ambacho kimebeba jina la wimbo I do.
TAZAMA HAPA CHINI UWONE MAAJABU HAYO
0 MAONI YAKO:
Post a Comment