August 23, 2014

 Hatimaye mwanamuziki wa Hip Hop M 2THE P atimiza ahadi yake aliyoiweka juu ya swahiba wake Marehemu Albert Mangwea aliyefariki mwaka jana nchini Afrika kusini.
 M 2THE P ambaye ndiye mwanye siri kubwa ya kifo cha Marehemu Mangwea ambaye walikuwa wote nchini humo, aliitoa ahadi hiyo kufuatia mazingira ya kifo cha Ngwea na maisha aliyoishinyeye na marehemu Ngwea walikuwa zaidi ya Marafiki

  Sambamba na Tatoo hizo kuweka mwilini mwake, pia ameachia wimbo maalum kama zawadi kwa Swahiba wake na shukrani kwa Mungu juu ya maish ayake

  Wimbo huwo aliowashirikisha watoto wa Mandera utaenda kuupata kwa mara ya kwanza kupitia  blog hii

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE