Miaka
ya nyuma mashindano haya yalikuwa yakihusisha Wasichana na Wavulana
lakini kwa mwaka huu imekua tofauti kidogo kwani mashindano haya
yamejikita zaidi kwenye upande wa wasichana peke yake. Kama ilivyo kwa Serengeti Dance la Fiesta,upande wa Serengeti Super
Nyota Divaz mkoa wa Tanga mshindi aliyepatikana anaitwa Sabrina
Khamis,ambapo wasichana waliojitokeza kwa mkoa wa Tanga kwenye
mashindano haya walikua 10.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment