August 23, 2014

111njnj 
August 23 ni tarehe rasmi ya Tanga kuonja utamu huu wa Serengeti Fiesta baada ya mikoa kadhaa kupita,wakati hayo yakisubiriwa wasanii wanaotoa burudani kwenye tamasha hili wameamua kwenda kumuona Mzee Njenje.
Mzee Njenje ambaye umaarufu wake umetokana na muziki wake kupitia nyimbo kadhaa alizoimba akiwa na bendi yake ya The Kilimanjaro Band kwa sasa hali yake si nzuri sana kiafya.

2njnj 

Akiongea na wasanii pamoja na waandishi walioenda kumpa pole amesema kuwa amepata tatizo la kupooza tangu mwezi December mwaka jana ingawa kwa sasa kidogo anaendelea vizuri ila upande wa kushoto haufanyi kazi.
Miongoni mwa vitu alivyowausia wasanii hao ni kutenga muda wa kupumzika zaidi kabla ya kupanda jukwaani na kuwaambia wajitahidi zaidi kupanda na maji ya kunywa wanapokuwa jukwaani.
1njnj 

3njnj 
  Mastar hao ni pamoja na Ommy Dimpoz,Ally Kiba,Mo Music,Barnaba,Recho,Linah,Chegge,Madee,Mr.Blue,Stamina,Ney wa Mitego,Madee,Vanessa Mdee,Young Killer,Bdozen,Shadee,Jux,Gerald Hando na Casto Dickson.
Hizi ni baadhi ya picha za wasanii hao walipoenda kumuona Mzee Njenje.
8njnj 

15njnj 


31njnj 

47njnj 

48njnj 

46njnj 



68njnj 


66njnj 

61njnj 

62njnj 

65njnj 

57njnj 

72njnj 



76njnj 

84njnj 

89njnj 

90njnj 

91njnj 

93njnj 


98njnj 

99njnj 

101njnj 

107njnj 



109njnj 

110njnj
 Source: MILLARDAYO.COM

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE