Na Imelda Mtema
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali.
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali.

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.
Akizungumza na paparazi wetu, Kajala alisema amefanya tathmini na
kugundua mastaa wengi wamekuwa wakiambulia umaskini baada ya umaarufu
kupotea hivyo ameona ashtuke mapema kwa kufanya biashara mbalimbali
ambazo zitamjengea msingi mzuri maishani.
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu.
“Nimeshtuka, sihitaji bifu na mtu, biashara tu na hata safari za
nchini China kwa sasa ni kwa ajili ya biashara pekee na si vinginevyo,
ukitaka pochi, viatu na vitu vingine vingi utapata,” alisema Kajala
aliyekuwa akiogelea katika bifu kali na aliyekuwa shosti wake, Wema
Sepetu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment