
Wamesema vituo vinaweza kuongezeka kutokana na mahtaji ya juu ya watu lakini vituo zaidi ya 10 tayari zimeanza kuuza tiketi hizo.
TICKET ZA MECHI HIYO ZINAPATIKANA KATKA VITUO VIFUATAVYO.
TSN BAMAGA SUPERMARKET .
TSN OIL BAMAGA PETROL STATION.
TSN SUPERMARKET UPANGA .
TSN SUPERMARKET TEGETA.
BIG BON MSIMBAZI.
BIG BON SINZA.
BIG BON TEMEKE.
BIG BON MBAGALA.
BIG BON TEGETA.
TSN SUPERMARKET TANCORT HOUSE .
MARRY BROWN MASAKI.
TSN SUPERMARKET MIKOCHENI.
TSN OIL TABATA KIMANGA.
ENGEN MIKOCHENI
MARRY BROWN MLIMANI CITY
0 MAONI YAKO:
Post a Comment