
Mahmoud Abbas na kiongozi wa Hamas
Maafisa waandamizi katika
kundi la wapiganaji la Mahmoud Abbamas wanasema kuwa kundi hilo limetia
sahihi ahadi ya kuunga mkono ombi lolote la Palestina la kujiunga na
mahakama ya kimataifa ya ICC.
Hatua hiyo inakamilisha makubaliano ya makundi
yote ya Palestina ambayo rais Mahmoud Abbas amesema anahitaji kabla ya
kuchukua hatua yoyote.Waandishi wanajua kwamba bwana Abbas huenda akaikasirisha Marekani kwa kutokuwa mwanachama wa mahakama hiyo nayo Israel huenda ikakabiliwa na uchunguzi wa uhalifu wa kivita.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment