Huu
utakua mkoa wa 4 kwenye list ya miji 18 ambayo watapata nafasi ya
kuonja utamu wa Serengeti Fiesta 2014,ilianzia Mwanza ikafuata Bukoba
ikasogea hadi Kahama na sasa ni zamu yao Tanga. Tanga itakua ni Jumamosi hii August 23 kwenye viwanja vya
Mkwakwani,hizi ni shamra shamra za Serengeti Fiesta ambapo Clouds Fm iko
live kutokea hapo wakiongozwa na Adam Mchomvu,Gea Habib na Bonge.
Kimbunga Hidaya chatikisa Mafia
-
WAKATI hali ya upepo mkali ikiendelea kushuhudiwa katika baadhi ya mikoa ya
ukanda wa Pwani ikiwamo Lindi, Mtwara, Pwani na Dar es Salaam, tayari
baadhi ya...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment