Albert Reynolds enzi za uhai wake.
ALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Ireland kwa miaka mitatu, Albert
Reynolds amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Kiongozi huyo
aliyewahi kuongoza Chama cha Fianna Fáil na kushinda Tuzo ya Amani ya
Nobel pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha (1988–91), Waziri wa Viwanda na
Biashara (1987–88), Waziri wa Viwanda na Nishati (1982), Waziri wa
Usafirishaji (1980–81) na Waziri wa Posta na Simu (1979–81).
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA VIPODOZI KUSAJILI BIDHAA HIZO
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za
vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , ...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment