August 01, 2014

 
Baada ya shindano la kusaka vipaji la serengeti Supa Nyota kuendeshwa kwa miaka miwili mwaka huu utaratibu umebadilika kidogo kwani haitohusisha washiriki wa jinsia zote na badala yake akina dada pekee ndiyo watakaoruhusiwa kushiriki Supa Nyota Diva. First Lady wa Supa Nyota mwanadada Ney Lee, anamwita first lady kwa sababu mpaka sasa hivi hakuna binti aliyewahi kushinda katika Serengeti Supa Nyota zaidi yake, ambapo amewataka akinadada wote wenye vipaji wajitokeze kwa wingi katika shindano hilo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE