September 19, 2014


 Mshiriki wa Super Nyota Diva kutoka Iringa, Atu aibuka mshindi siku ya leo katika mashindano yaliyofanyika mkoani iringa
Atu ni msichana mwenye matatizo ya macho (anaona kidogo sana) lakini kipaji chake ni kikubwa sana kiasi cha kuwashinda washiriki wengine waliokuwa wakiwania taji hilo mkoani Iringa.


                         
   
Pichani Atu yupo na mtangazaji wa kituo cha Clouds Tv. Nickson George A.K.A Rugha Kali ambae ndie alieendesha mchakato mzima mpaka kumpata mshindi huyo

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE