September 19, 2014

 

 Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linatarajiwa kufanyika jumapili hii ndani ya uwanja wa Jamhuri stadium mjini Morogoro, limeanza kufana kufuatia wakazi wa mji huo kujitokeza kwa wingi katika Semina ya fursa iliyofanyika leo hii katika Hoteli ya Midland Inn Msamvu
 Mwasiti Almasi toka  THT akitoa dawakwa wakazi wa Moro leo hii

 Mjomba Mrisho Mpoto naye alipata nafasi ya kuwawezesha wakazi wa morogoro katika semina ya Fursa leo hii

 Wakazi wa Morogoro wakifwatilia semina ya Fursa kwa umakini


 Niki wa pili toka weusi  alikuwa gumzo leo hii
 

 Mbunifu wa mavazi na mwana mitindo maarufu nchini Diana Magesa akiwawezesha wakazi wa Morogoro

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE